Utafiti waonyesha supu ya Pweza inaongeza hamu ya kufanya ...
Habar za majukumu wana jf poleni na makali ya maisha na mbano wa mkuu wa kaya. Niende kwenye story kamili. Baada ya kutoka kutoka kwenye majukumu yangu hivi muda wa jioni kama saa moja nikaona supu ya pweza sehem huku watu wakianza kudonoa vya mia mbili mbili.